𝗖𝗖𝗠 𝗬𝗔𝗪𝗔𝗦𝗛𝗔 𝗧𝗔𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗔𝗦𝗞𝗔𝗭𝗜𝗡𝗜 𝗣𝗘𝗠𝗕𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗪𝗔 𝗔𝗖𝗧 𝗪𝗔𝗭𝗔𝗟𝗘𝗡𝗗𝗢 𝗪𝗔𝗛𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗖𝗖𝗠
📌𝖢𝖢𝖬 𝖪𝗎𝗍𝗎𝗆𝗂𝖺 𝟦𝖱 𝗓𝖺 𝖣𝗄𝗍 𝖲𝖺𝗆𝗂𝖺 𝗄𝗐𝖾𝗇𝗒𝖾 𝖴𝖼𝗁𝖺𝗀𝗎𝗓𝗂 𝖬𝗄𝗎𝗎 𝗎𝗃𝖺𝗈 𝖬𝗐𝖾𝗓𝗂 𝖮𝖼𝗍𝗈𝖻𝖺 - 𝖢𝖯𝖠 𝖬𝖺𝗄𝖺𝗅𝗅𝖺
📍𝖬𝗐𝖾𝗇𝖾𝗓𝗂 𝖬𝖺𝗄𝖺𝗅𝗅𝖺 𝖺𝗃𝗂𝖻𝗎 𝖬𝖺𝗉𝗂𝗀𝗈 𝖺𝗌𝖾𝗆𝖺 𝖯𝖾𝗆𝖻𝖺 𝗂𝗆𝖾𝖻𝖺𝗋𝗂𝗄𝗂𝗐𝖺 𝖵𝗂𝗈𝗇𝗀𝗈𝗓𝗂 𝗐𝖺𝗄𝗎𝖻𝗐𝖺 𝗐𝖺 𝖲𝖾𝗋𝗂𝗄𝖺𝗅𝗂 𝗒𝖺 𝖬𝖺𝗉𝗂𝗇𝖽𝗎𝗓𝗂 𝗒𝖺 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akiwa Viwanja vya Kiungoni Kaskazini Pemba amepokea wanachama 40 kutoka Chama cha ACT WAZALENDO ambao wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi na moja ya Wanachama hao amesema kulingana na mambo waliyokuwa wanayapigania sasa yamefanyiwa kazi ikiwemo Barabara, Ujenzi wa Skuli za Kisasa , Hospital pamoja Ujenzi wa Bandari hivyo hawaoni chakupigania ni bora waungane na CCM kutekeleza Ilani.
Mwenezi Makalla akizungumza amesema kwa Utekelezaji bora wa Ilani ya CCM inatosha kutembea kifua mbele kwa Vijana wasiwe waoga kujibu hoja pale panapojitokeza uwongo kwani uwongo ukizungumzwa pasipo kujibiwa huwa ukweli mfano hai kumekuwa na Viongozi wanaitisha Mikutano na kusema Pemba hakuna kilichofanyika ni uzushi na uwongo wa hali ya juu utafikiri hawaoni leo Mikoa miwili tu Kaskazini na Kusini maghorofa 13 yamejengwa lazima tuwakatae.
Amesema kuwa CCM itaongozwa na 4R za Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
CPA Makalla pia amesisitiza Wananchi wa Kaskazini na Kusini Pemba kuwakataa Viongozi wanaoneza ubaguzi Miongoni kwani ukiangalia kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar upande ambao una Viongozi wakubwa ni Pemba mfano hai Makamu wa Rais wa kwanza ,Makamu wa Rais wa Pili pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi sasa wanapoleta chokochoko muwapinge wameishiwa hoja Dkt Hussein Mwinyi amemaliza kazi yake hivyo lazima wananchi wawakatae wale wanaotaka kura kwa njia ya Uwongo.
CCM NA FRELIMO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
10-03-2026
UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
10-03-2026
CCM YAIPA POLE MSUMBIJI KWA KUKUMBWA NA MAFURIKO
10-03-2026
INJINI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IPO MASHINANI; DKT.MIGIRO
10-03-2026
DK.MIGIRO:CCM INAJENGWA KUANZIA NGAZI YA MASHINA SIO MAJUKWAANI.
10-03-2026
𝗞𝗜𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗜𝗚𝗜𝗥𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗪𝗘 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠
10-03-2026
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AMWAKILISHA KATIBU MKUU WA CCM KWENYE MSIBA WA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO
10-03-2026
𝗩𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗧𝗨𝗜𝗟𝗜𝗡𝗗𝗘 𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗬𝗘𝗧𝗨 - 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗘𝗡𝗔𝗡𝗜
10-03-2026
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
10-03-2026
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
10-03-2026
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
10-03-2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
10-03-2026
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
10-03-2026
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
10-03-2026
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
10-03-2026
𝗨𝗖𝗛𝗔𝗣𝗔𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗨𝗠𝗘𝗟𝗘𝗧𝗔 𝗜𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗣𝗜𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜, 𝗪𝗔𝗜𝗞𝗨𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗖𝗖𝗠
𝙆𝙖𝙩𝙞𝙗𝙪 𝙈𝙠𝙪𝙪 𝘿𝙠𝙩. 𝙈𝙞𝙜𝙞𝙧𝙤 𝙖𝙬𝙖𝙥𝙤𝙠𝙚𝙖 𝙑𝙞𝙤𝙣𝙜𝙤𝙯𝙞 𝙬𝙖 𝘾𝙃𝘼𝘿𝙀𝙈𝘼 𝙣𝙖 𝘼𝘾𝙏
10-03-2026
𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗔𝗥𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗚𝗢𝗠𝗔
10-03-2026
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
10-03-2026
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
10-03-2026
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
10-03-2026