Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


MAFUNZO!

alternative

𝐕𝐈𝐕𝐀 𝐕𝐈𝐉𝐀𝐍𝐀! 𝐕𝐈𝐕𝐀 𝐂𝐂𝐌! 🔰 Ndugu Kenani Laban Kihongosi, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, atakuwepo Agosti 10, 2026, Ihemi-Iringa, katika Mafunzo ya Viongozi wa Seneti za Vyuo na Vyuo Vikuu nchi nzima. Ni fursa ya vijana kujifunza, kujenga uongozi, kuimarisha uzalendo na kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa Taifa. Tembelea: www.ccm.or.tz ________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #KenaniLabanKihongosi #VijanaNaUongozi #CCMIpoKazini

alternative
Habari Nyingine