Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐇𝐄𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐔𝐊𝐔𝐔 𝐘𝐀 𝐍𝐀𝐍𝐄𝐍𝐀𝐍𝐄 𝟐𝟎𝟐𝟔!

alternative

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawatakia wakulima na wananchi wote maadhimisho mema ya Sikukuu ya Nanenane. Tunawapongeza kwa mchango wenu mkubwa katika uzalishaji wa chakula, kukuza uchumi na kujenga Tanzania yenye maendeleo. Tembelea: www.ccm.or.tz ________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #Nanenane2026

alternative
Habari Nyingine