CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza

alternative

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana  amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.

alternative alternative

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50