Katibu Mkuu Ndugu Bashiru Ally Kakurwa akiwa na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kizota ambao wametembelea Maonesho...
Katibu Mkuu Ndugu Bashiru Ally Kakurwa akiwa na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kizota ambao wametembelea Maonesho ya Historia ya Miaka 44 ya CCM ili kujifunza historia ya mapambano ya kudai #Uhuru, kuelewa historia ya utendaji na uongozi wa Chama na Serikali. Leo tarehe 10 Februari 2021.