CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Wajumbe Mnakaribishwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum Tarehe 30-04-2021.....

alternative

Chama Cha Mapinduzi Kinawakaribisha Wajumbe na Wanachama wote kwenye Mkutano Mkuu Maalum utakaofanyika Tarehe 30-04-2021 kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center, kauli mbiu ya mkutano huu mkuu ni "Chama Imara, Serikali Madhubuti, Kazi Inaendelea".

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50