Dkt. Philip Isdor Mpango akimkabidhi kadi ya Chama Cha Mapinduzi aliyekuwa Mtia nia wa Nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmshauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akimkabidhi kadi ya Chama Cha Mapinduzi aliyekuwa Mtia nia wa Nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mwaka 2020 Dkt. Maryrose Majinge mara baada ya kurejea CCM akiwa ni Miongoni mwa wanachama wapya 580 walikabidhiwa kadi hizo katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam leo tarehe 05 Februari 2023 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.