Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya, wakati wa kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge, Jimbo la Mbarali.
“ Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika
uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.”
Ndugu Samia Suluhu Hassan ,
Oktoba 2021 - Rufiji, Pwani
“ Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT
imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na
kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.”
Mwalimu J.k.Nyerere ,
1990 - Dodoma
“ Mimi nang'atuka lakini
nitaendelea kuamini kuwa
bila CCM mathubuti nchi itayumba.”
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ,
2019 - Njombe
“ Viongozi wenzangu tutatue
matatizo ya wananchi tunaowaongoza, ni lazima tusimamie kazi
tulizojipa,ninataka mambo yatendeke haraka. ”
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ,
2019 - Njombe
“ Haiwezekani taifa hili likawa la majizi tu halafu wananchi wanahangaika,
ni
lazima mtu anapopata kazi, thamani ya pesa katika mradi ionekane. ”
Mwalimu J.k.Nyerere ,
Juni 1991 - Rio De Janeiro
“ Demokrasi sio chupa ya Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza. Demokrasi
inapaswa kuendelezwa kulingana
na nchi yenyewe. ”
Mwalimu J.k.Nyerere ,
Machi 1997 - Accra, Ghana
“ Umoja hautatufanya kuwa tajiri, lakini unaweza kuwezesha kuiepusha
Afrika na
watu wa Afrika kutoheshimiwa na kudhalilishwa. ”
Mwalimu J.k.Nyerere ,
Mwalimu J.k.Nyerere ,Tanzania, Januari 1968
“ Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya taifa jingine ;
hakuna watu kwa ajili ya watu wengine. ”