Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Ikulu ya Chamwino
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuingia Ofisini kwake Chamwino Mkoani Dodoma baada ya uzinduzi tarehe 20 Mei, 2023.