Habari/Matukio

Habari na Matukio Mbalimbali


Mgombea Ubunge Jimbo La kawe Askofu Gwajima akiomba kura kwa wananchi wa Kawe..

alternative

Mgombea Ubunge Jimbo La kawe Askofu Gwajima akiomba kura kwa wananchi wa Kawe Kwenye Mkutano Wa kampeni Wa Mgombea Uraisi Kwa Tiketi Ya Chama Cha Mapinduzi Uliofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers - Kawe, Dar Es Salaam

Habari Nyingine

alternative
  Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amejitokeza na Kwenda Kupiga Kura Chamwino Ikulu.

28-10-2020Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli Wamejitokeza na Kwenda Kupiga Kura Chamwino Ikulu.

alternative
Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Ccm Mhe Rais  Dkt John Pombe Magufuli Akizungumza  Na Wananchi Uwanja Wa Kwaraha  Babati.  

25-10-2020Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Ccm Mhe Rais  Dkt John Pombe Magufuli Akizungumza  Na Wananchi Uwanja Wa Kwaraha  Babati

alternative
Katibu Mkuu Wa CCM Ndugu Bashiru Ally, Pamoja Mwenyekiti wa CCM Mkoa Wa Manyara  Wakifuatilia Hotuba Ya Mgombea Uraisi Kupitia Tiketi Ya CCM Uliofanyika Babati Mkoani Manyara.

25-10-2020Katibu Mkuu Wa CCM Ndugu Bashiru Ally, Pamoja Mwenyekiti wa CCM Mkoa Wa Manyara  Wakifuatilia Hotuba Ya Mgombea Uraisi Kupitia Tiketi Ya CCM Uliofanyika Babati Mkoani Manyara.

alternative
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Frederick Sumaye, Pamoja Na Viongozi Mbalimbali Wa Chama Wakifuatilia Hotuba Ya Mgombea Uraisi Kupitia Tiketi Ya CCM Uliofanyika Babati Mkoani Manyara.

25-10-2020Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Frederick Sumaye, Pamoja Na Viongozi Mbalimbali Wa Chama Wakifuatilia Hotuba Ya Mgombea Uraisi Kupitia Tiketi Ya CCM Ndugu John Magufuli Uliofanyika Babati Mkoani Manyara.

Mawasiliano Ya Chama

Kuwa Karibu na CCM

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.

Unaweza Kupakua CCM APP


Ungana nasi katika Mitandao Ya Kijamii

Youtube Channel