CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


MAPOKEZI YA KATIBU MKUU WA WAZAZI MKOANI MANYARA

alternative

Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Gilbert Kalima Mkoani Manyara pamoja na Viongozi Mbalimbali wa Jumuiya na Chama Yamefanyika Mapema Leo Tarehe 06-05-2013 Kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Manyara  Mara Baada ya Kuwasili Kwenye  Maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Taifa Yanayofanyika Mkoani Manyara Kuanzia Tarehe 06-05-2023 Hadi 09-05-2023.
 Wajumbe Wote Mnakaribishwa.  

alternative alternative alternative alternative

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50