CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Baraza la Eid Al Fitri ....

alternative

Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan , leo Mei 3 , 2022 amejumuika pamoja na Wananchi  katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC) Mkoa wa Dar es Salaam.

Baraza la Eid Al Fitri  hufanyika kila baada ya  kukamilika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani 

Eddi Mubaarak

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50