MWENYEKITI WA CCM TAIFA NDG.SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana leo tarehe 21 Juni 2022, Ikulu Chamwino Dodoma.