Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano wa 10 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) tarehe 27 Novemba, 2022.