MAKABIDHIANO YA OFISI YA ORGANAIZESHENI - DAR ES SALAAM
Katibu wa NEC Idara ya Organaizesheni na Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Mhe. Comred Issa Haji Ussi (Gavu) Amekabidhiwa Ofisi leo tarehe 07 Feb 2023 na aliekuwa Mkuu wa Idara ya organaizesheni Dkt. Maudline Cyrus Castico Ofisi ndogo Lumumba Mkoa wa Dar Es Salaam.