CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


DKT. MAUDLINE CASTICO AKAGUA MRADI WA KITUO CHA UZALISHAJI UMEME ......

alternative

 KATIBU WA NEC-ORGANAIZESHENI DKT. MAUDLINE CASTICO AKAGUA MRADI WA KITUO CHA UZALISHAJI UMEME (NORPLAN TANZANIA LTD) KILOMBERO-MOROGORO.

Katibu wa NEC Idara ya Organaizesheni CCM Taifa Dkt. Maudline Castico leo Mei 5, 2022 amekagua Ujenzi wa mradi unaoendelea wa Kituo cha Uzalishaji wa Umeme (NORPLAN TANZANIA LTD)uliopo wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50