CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


KATIBU MKUU CHONGOLO AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA VIET NAM NCHINI TANZANIA. SEPTEMBA 8,2022.

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Viet Nam nchini Tanzania Komredi Nguyen Nam Tien katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam leo Alhamis Septemba 8, 2022.

alternative alternative

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50