Habari na Matukio Mbalimbali


Majarida


Nukuu & Viongozi


alternative
Mimi nang'atuka lakini nitaendelea kuamini kuwa bila CCM mathubuti nchi itayumba.
Mwalimu J.k.Nyerere ,1990 - Dodoma
alternative
Viongozi wenzangu tutatue matatizo ya wananchi tunaowaongoza, ni lazima tusimamie kazi tulizojipa,ninataaka mambo yatendeke haraka.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, 2019 - Njombe
alternative
Haiwezekani taifa hili likawa la majizi tu halafu wananchi wanahangaika, ni lazima mtu anapopata kazi, thamani ya pesa katika mradi ionekane.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, 2019 - Njombe
alternative
Demokrasi sio chupa ya Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza. Demokrasi inapaswa kuendelezwa kulingana na nchi yenyewe.
Mwalimu J.k.Nyerere ,Juni 1991 - Rio De Janeiro, Brazil
alternative
Umoja hautatufanya kuwa tajiri, lakini unaweza kuwezesha kuiepusha Afrika na watu wa Afrika kutoheshimiwa na kudhalilishwa.
Mwalimu J.k.Nyerere ,Machi 1997 - Accra, Ghana
alternative
Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya taifa jingine ; hakuna watu kwa ajili ya watu wengin.
Mwalimu J.k.Nyerere ,Tanzania, Januari 1968

Viongozi Wa Chama Cha Mapinduzi

wrapkit
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI
Mwenyekiti wa Chama
wrapkit
DKT. HUSSEIN ALI MWINYI
Makamu Mwenyekiti Zanzibar
wrapkit
MH. PHILIP MANGULA
Makamu Mwenyekiti Bara
wrapkit
DKT. BASHIRU ALLY
Katibu Mkuu
Mawasiliano Ya Chama

Kuwa Karibu na CCM

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.

Unaweza Kupakua CCM APP


Ungana nasi katika Mitandao Ya Kijamii

Youtube Channel